Search

160 results for Rajabu Athumani :

  1. Mwafaka mgomo wa daladala Tanga - Horohoro Jumatatu

    Wakubaliana na Latra pamoja na Jeshi la Polisi wanaendelee na safari zao kwa kutoza Sh3, 500 hadi Jumatatu Mei 6 watakapokaa na kujadiliana upya.

  2. Madereva Tanga – Horohoro wagoma, kisa hiki hapa

    Wasema nauli ya Sh3, 200 haina faida wanataka abiria walipe Sh3, 500.

  3. Wawili jela maisha kwa kubaka mama na wanawe

    Adhabu hiyo ilitolewa na Hakimu Veronica Siao jana Aprili 25, 2024, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa hayo

  4. Panya waliza wakulima Handeni, washambulia ekari 23,000 za mahindi

    Ofisa tarafa ya Magamba, Boniface Deusdetit amekiri kuwepo uharibifu wa panya hao kwenye kata nne za eneo hilo ambazo ni Kwachaga, Kwalugulu, Kangata na Kwankonje,

  5. Wawili kortini wakituhumiwa kumbaka mama na wanawe

    Wakazi wawili wa kata ya Kabuku Ndani, wilaya ya Handeni mkoani Tanga, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Handeni na kusomewa mashtaka matatu ya kubaka kwa kikundi mama na watoto wawili.

  6. Mshtakiwa aomba hukumu yake iahirishwe akidai akili haiko sawa

    Handeni. Mahakama ya Wilaya ya Handeni imeahirisha kuwasomea hukumu washtakiwa wawili wa kesi ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, Waziri Mohamedi na mwenzake Mohamed Ndumi baada ya kuieleza...

  7.  Wananchi wataka utatuzi kero ya maji Handeni

    Mkazi wa kata ya Kwediyamba, Fatuma Mwilo amesema eneo hilo lina shida kubwa ya maji, ambapo wananchi wanalazimika kukesha kwenye visima kutafuta maji, hivyo mradi huo ukikamilika utakuwa ni...

  8. Wananchi Muheza mbaroni wakidaiwa kuchoma moto gari la ofisa kilimo

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah, aunda timu kuchunguza tukio hilo, lililofanana na la mwaka 2016 Iringa, ambapo watafiti walishambuliwa na kuuawa.

  9. PRIME Jinamizi la ajali Mbwewe, kiini hiki hapa

    “Tumechoka kuzika wapendwa wetu,” hii ni kauli ya wananchi wa Kata ya Mbwewe, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakielezea madhila ya ajali za kila mara katika eneo hilo na kutaja sababu tatu kuwa...

  10. Huu hapa ujumbe wa Pasaka wa viongozi wa dini, waamini

    "Yesu ameleta amani, ujumbe wa amani uendelezwe mahali pote ili nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla pawe mahali pa amani, ujumbe wa Yesu alipofufuka ni amani kwa watu wote kwa kusema amani iwe nawe.

Page 1 of 16

Next